JC Payroll iliyo hapa ni toleo la Burundi. Inahesabu mishahara, INSS, IRP na makato mengine ya kisheria ya Burundi, kisha inatoa slips zinazoweza kupakuliwa.
Ukhitaji payroll ya Kenya, Rwanda, DRC au nchi nyingine, tuma ombi la huduma ya payroll maalum kwa nchi.